Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MAKONGO CCM
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Kwenye Lami
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Dining
• Vyumba VITATU vya Kulala na Viwili Kati yake ni Master
• Jiko Kubwa
• Public Toilet
• Full AC
• Heater
• Electrical Fance
#Kodi kwa Mwezi ni Tsh. 900,000/= MALIPO Kuanzia Miezi 4
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp