Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI SARANGA SHULE
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 270,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence zipo 2 inajitegemea umeme na maji, parking kubwa ya uhakika
Umbali KM 3 kutoka Morogoro Road, Bajaji zinakuacha kwenye nyumba
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347