Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FULL SECURITY MASAA 24
BEI NI 600,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA KWENDA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20000 KWENDA KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347


















