Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(600,000 ร 6) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข ๐ ๐๐๐จ๐๐จ๐๐
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= ร 6
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FULL SECURITY MASAA 24
BEI NI 600,000/= ร 6
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA KWENDA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















