Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


ββ
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 250,000K X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO BARABARA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747