Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI INN/HIGH
SIFA ZAKE
# INAVYUMBA 3 VYA KULALA PIA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
# SEBULE KUUBWA
# JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
# PUBLIC TOILET NDANI
# UMEME NA MAJI UNAJITENGEMEA
# NYUMBA IPO SEHEMU SALAMA NA MLINZI YUPO KABISA
BEI NI 450,000 KODI YA MIEZI 4 MPAKA 6
KUTOKA MBEZI HIGH MPAKA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 10 TU
USAFIRI
BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
_
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343