Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO πππ
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
NA HII MOJA NDIYO INAPANGISHWA NA ZIPO MBALI MBALI
BEI NI 250,000/= X 6
NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3
USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
What saapp Number 0689-547258