Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA# APARTMENT 
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  MBEZI BEACH 
———————————————————
KODI TSHS LAKI  900,000/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA 
______
YENYE:-
Vyumba vitatu  vya kulala, #Master #Sebule kubwa #dinning #Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
____________
Nione 
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812 call whatssap
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA




















