Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAUZWA ZIPO MBILI NDANI YA FENCE MBEZI KWA MSUGURI BEI 150 ML.
___________________________
SIFA ZAKE
_______________
Nyumba kubwa
Inavyumba vitatu
Kimoja Master
Sebule kubwa
Daining yachakula
Jiko na stor yake
Public toilet 🚻
KODI YAKE TSH. 400,000
KWAMWEZI
______________________
NYUMBA NDOGO
Inavyumba viwili
Kimoja Master
Sebule kubwa
Jiko na stor yake
Public toilet 🚻
KODI YAKE TSH. 300,000
KWA MWEZI
___________________________
Jumla yakwazote
Ni sh. 700,000/=
Kodi yamwezi mmoja
Zidisha mara sita
Ni t.sh. 4,200,000/=
____________________
NAZOTE ZINA WAPANGAJI TAYARI
_______________________
BEI YAKUUZA
T.SH. MILLION- 150
Maongezi yapo
__________________
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347