Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#ZIMESHUKA_BEI_BEI_BEI
#APARTMENTS_ZINAUZWA_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA\/#MBEZI_KWA_MSUGURI
APARTMENT ZIPO JUMLA NNE ILA TATU ZIPO SEHEMU MOJA NA NYINGINE NI STAND ALONE
APARTMENTS TATU ZINA SIFA ZIFUATAZO KILA MOJA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA,SEBULE KUBWA, KIMOJA WAPO MASTER BEDROOM, JIKO LENYE MAKABATI NA CHOO CHA FAMILIA NA UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
NA KODI NI TZS 300,000\/= KWA MWEZI
NA NYINGINE NI STAND ALONE
#VYUMBA VITATU VYA KULALA, SEBULE KUBWA, KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM, JIKO NZURI LENYE MAKABATI NA CHOO FAMILIA NA UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NA KODI NI TZS 400,000\/= KWA MWEZI
UKUBWA WA ENEO NI SQMT 1500
BEI NI MILIONI 300 #MAONGEZI_YAPO_KIDOGO
APARTMENTS ZOTE ZINA WAPANGAJI NDUGU MTEJA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KABISA
#APARTMENTS ZINA HATI MILIKI KUTOKA WIZARANI [#TITLE DEED IPO]
NA ZIPO UMBALI WA KILOMETA 1 KUTOKA MOROGORO ROAD KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA ILA KUPITIA MBEZI KWA MSUGURI NI KILOMETA 1.6 KUTOKA MOROGORO ROAD
SERVICE CHARGE NI TZS 35,000\/=
__
PIGA SIMUUU
0716223412
0683597453