Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VITATU
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI JILANI NA LAMI
______________
KODI 1,300,000 KWA MWEZI
ULIPI CHOCHOTE ZAIDI YA KUJIWEKEA UMEME WAKO TU
MALIPO YA MIEZI 6
________________
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks