Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


0679 997610
APARTMENT KALI INAPANGISHWA
LOCATION MBEZI MWISHO SHULE YA MSINGI
UMBALI TOKA LAMI ADI KWENYE NYUMBA DAKIKA 3 KWA MIGUU
KODI: 300,000X6
SIFA ZAKE HII NYUMBA
VYUMBA VITATU VYA KULALA VIKUBWA SANA VYOTE MASTER PIA KUNA TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME MAJI PIA YANA FLOW NDANI MUDA WOTE
NGUGU MTEJA SOMA MAELEZO KWA MAKINI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA HILA KUNA CHANGAMOTO KIDOGO YA BARABARA KWA GARI YA CHINI KUFIKA KWENYE NYUMBA
ITAKUWA WAZI TAREHE 01-06-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI