Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 400000/= X 6
NYUMBA HII KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA 2 TUU KUNA HII KUBWA YA MBELE NDIO INAPANGISHWA NA INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#ZIPO NYUMBA 2 KWENYE FENSI MOJA NA II MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.4.....
#BAJAJ 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#BODABODA NI 1000 TU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA....
NB:II NYUMBA INAPIGWA RANGI NDANI KOTE RANGI ATAYOIPENDA MPANGAJI
0677210673