Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(350,000X6) MBEZI KWA MSUGURI 1KM BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.1
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UMEME LUKU YAKE
KODI 350,000 X 5,6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453