Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(550,000X6) MBEZI MWISHO DK 2 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT ##600K##IPO MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO GOBA UMBALI WA DK 2 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI.
-----------
ZIPO APARTMENTS MBILI KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA.
VYUMBA 3VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
PUBLIC TOILET
JIKO ZURI
STORE
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK,
ELECTRIC SECURITY ,
PARKING SPACE KUBWA.
--------
KODI NI LAKI 550,000 /=
KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453