Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Namanga, Arusha







Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Namanga
Vyumba vitatu kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni Million 1 Laki 3
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana