Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ruvu, Kilimanjaro
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 230,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA YANATOKA NDANI KAMA RUVU VILE
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA HASA HII NDIO IMEJITENGA YENYEWE PEMBENI KABISA
BEI NI 230,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM 3 TUU BAJAJI 1000 BODABODA 1500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA0677370515