Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartment mpya za kisasa inapangishwa Tabata Relini.
1. VYUMBA VITATU (VIWILI MASTER) - Bei 1,000,000/=
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Vyumbani anaweka makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Water heater
- Full A/C
- Paving anaweka
- Parking
- Electronic fence
- Mlinzi wa kampuni
2. VYUMBA VIWILI (KIMOJA MASTER) - Bei 800,000/=
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Vyumbani anaweka makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Water heater
- Full A/C
- Paving anaweka
- Parking
- Electronic fence
- Mlinzi wa kampuni
Kuingia ni tarehe 1 mwezi wa tano.
Kuona na kulipia ruksa.
Muhitaji piga 0688 412 890.