Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Apartment house for Rent za Kisasa nzuri sana
Location Tabata Migombani Center
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
===============
Room 3 Moja ni Master Bedroom Chumba Kimoja Cha 3 ni Cha wastani
Sitting room Kubwa
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Pavin Block
Apartment zipo 2 Moja ndio ipo wazi
Good environment
0715949085
0782838336