Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







HII APARTMENT MPNGJ ALIETOKA ALIKAA ZAIDI YA MIAKA 7 KWA IYO INAITAJI UKARABATI MKUBWA SANA WA NDAN
.
NA NDO FUNDI YUPO SAITI BAADA YA WK MOJA ITAKUA MPYA
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
HII APARTMENT IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI STAND
.
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA LINAWEKWA KABATI NA PABLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI