Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F251db43c-395f-4d01-917e-e3ab5b1fb335.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F251db43c-395f-4d01-917e-e3ab5b1fb335.jpg&w=256&q=75)
Apartments mpya inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki.
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko (anaweka makabati)
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 1 kutoka lami
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.