Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa mpya
@
Inapangishwa
@
Bei 1,000,000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Mahali tabata shule
‘@
Nyumba lami
@
Ni vyumba 3 sebule jiko choo
@
Vyumba 2 nj master
@
Dining ipo
@
Umeme na maji mita yako
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687