Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


(500,000X6) UBUNGO KIBO DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO KIBO
DK 8 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 500,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 3 KIMOJA NI MASTER
KILA CHUMBA KINA KABATI
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
APARTMENT YA CHINI IKO WAZI
NB
ITARUDIWA KUPIGWA RANGI
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453