Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO KIBO dk4 kwenye compound ziko Mbili tu
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule kubwa
Dining room
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Usalama wakutosha
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Kodi 350,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.