Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


(350,000X6)KIBANDA CHA MKAAA UMBALI WA 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗡𝗚𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 (3𝟱𝟬𝗸 𝗧𝘀𝗵𝘀): Ni apartment ya vyumba vitatu vya kulala
kimoja cha kulala 'MASTER BEDROOM, Sebule na Jiko...Ipo ndani ya fensi parking space ipo na inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO.
✔️VYUMBA 3 VYA KULALA
✔️ CHUMBA 1 NI MASTER
✔️SEBULE
✔️DINNING
✔️STORE
✔️JIKO
𝗠𝗔𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗣𝗢: KIBANDA CHA MKAAA Upande wa kulia kama Unatoka Ubungo..
𝗕𝗘𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘: Laki tatu na elfu hamsini tu (350,000\/- Tshs) × Miezi 6+ Mwezi mmoja malipo ya Dalali
𝗦𝘂𝗿𝘃𝗲𝘆 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 kupelekwa kuona nyumba ni Tshs
0655256419