Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
NOTE: YA JUU NDIO INAPANGISHWA
.
LOCATION:
UBUNGO EXTERNO MAJI CHUMVI
BEI
KODI NI TSH. 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 10
.
SIFA ZAKE
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA ( KIMOJAWAPO MASTER)
SEBULE KUBWA
DINING
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
TILES
GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK
MAZINGIRA MAZURI NA NI TULIVU
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
WASILIANA NASI
0684217177, 0716834095