Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







(500,000X6)UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
IYO YA JUU NDO INAPANGISHWA
.
LOCATION: UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI
.
KODI NI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 10
.
SIFA ZAKE
========
INA VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
HII NYUMBA INAITAJI UKARABATI MKUBWA KIDGO ILI IRUDI UPYA
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
.
CONTACT
0716223412
0683597453