Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam


*AirBnB na Apartments ya vyumba 32 inauzwa Ukonga Stakishari*
*Location* karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius takriban kilomita 2.5 kutoka uwanja wa Ndege.
-Apartment ina madaraja 3 ya vyumba ambavyo ni; vyumba vya mtu mmoja *80,000 Tshs*
-Double room *120,000/=Tshs.*
-Double standard *140,000/= Tshs*
-Ni mahali ambapo unaweza kupata utulivu usio na kikomo na kujisikia nyumbani ukiwa na faragha ya kutosha
-Mgahawa wenye baa, Jiko, eneo la kutosha la kuegesha magari, Usalama mzuri na kamera za CCTV
WiFi ya bure na AC
-Standby Generator
-Idadi ya vyumba- Suti 26 na jikoni na Single Master 5
-Plot size Sqmtrs 1,773
-Document: Ina hati miliki
*Bei shilingi Bilioni 3 maongezi yapo*
Buy,sale, Rent and Advertise with us
Calls and Whatsapp+255621488071