Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Uwanjani, Songwe
IMESHUKA BEI SASA KUTOKA KWENYE 400
SASA 300
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.2
BARABARA NZURI YA RAMI YA ZEGE
USAFIRI WA BAJAJI 700
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 KWA MIGUU UMEFIKA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000 X 7
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM# 0674860193