Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
ZIPO MBILI KWENYE FENCE MOJA
WAZO MIVUMONI
___________________________________
YA JUU IPO WAZI
INA VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF COUNTED
SITTING ROOM, DINING ROOM, PUBLIC, TOILET KITCHEN
BEI TSH 600,000/=
KODI MIEZI SITA
UMBALI KILOMETER 1.5 KUTOKA LAMI
0712154044