Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam



Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Wazo.
Vyumba vitatu kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 600,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana