Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Buza, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 50,000

NYUMBA (APARTMENTS 5)PAMOJA,TSHS.150 MILIONI,BUZA KINYANTILA/KIYOMBO.

Hizi ni nyumba nzuri zilizopo ndani ya Fensi na kila moja inajitegemea.

Nyumba mojawapo ni kubwa na ina vyumba 3.
Zilizobaki(4) kila moja ina vyumba 2 vya kulala.
Kila nyumba Ina Masta moja,Sebule,
Choo cha Famikia na Jiko.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

NYUMBA ZOTE ZIN WAPANGAJI.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_____________mpg

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA (APARTMENTS 5)PAMOJA,TSHS.150 MILIONI,BUZA KINYANTILA/KIYOMBO.Hizi ni nyumba nzuri zilizopo n...

Nyumba inauzwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

PAGALE,KIWANJA SQM.460 INAUZA BANK TSHS.15 MILIONI TU,BUZA.Hapa ni jirani na KIYOMBO SHULE YA MSINGI...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Nyumba apartment zipo Tano zote kwa pamoja zinauzwa Nyumba zipo ndani ya fensi zote TanoNyumba zipo ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT APARTMENT APARTMENT ZA KISHUA moja ipo wazi ina pangishwa buza kinyantira vyumba viwili se...

Kiwanja kinauzwa Buza, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

Plot for sale buzaMwanagatiSqmt 2000350,000,000 tshPanafaa kuweka yard,sheli,Godowns n.k☎️0623997896