Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


NYUMBA-2-PAMOJA, KIWANJA SQM.1,004,
TSHS 750 MILIONI,SINZA.
Mtaa tulivu,
Jirani na Barabara ya Lami,
SINZA MORI.
Ukubwa wa Kiwanja SQM.1004.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. 
Kila nyumba INAJITEGEMEA. 
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,
Jiko na Choo cha Familia ndani. 
Panafaa kuweka Hoteli,
Apartments za Kisasa au
Makazi yako yenye nafasi YAKUJIACHIA. 
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000. 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. 
+255 714 591 548
____________Slt




















