Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA; #Vyumba_viwili
(ZIPO MBILI KWENYE FENCE)
Kodi :: Tsh 300,000 kwa Mwezi (#MIEZI_6)
Location :: BUNJU B MITA 300 TOKA LAMI
.
📍Vyumba Viwili (Kimoja ni Masta)
📍Sebule kubwa
📍Jiko Kubwa
📍Public Toilet
📍Luku Yako & Maji yapo
📍Fenced
📍Parking Space ipo.
.
.
Call /Whatsapp
0782 724 115