Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







14/6/2025
Nyumba inapangishwa apartment 
Location bunju b 
Kodi 400,000 kwa mwezi 
Miezi 3 au 6
Ipo ndani ya fence Inajitegemea maji na umeme Piga simu O745010009 
Vyumba 2 kimoja master sitting



















