Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘️ INAPANGISHWA
LOCATION: BUNJU BEACH 🏖️ MOGA MITA 💯 KUTOKA LAMI
INA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE JIKO NA PUBLIC TOILET
KODI: TSH 400K KWA MWEZI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA makini/Richard
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Piga simu O745010009 au 0742707023