Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


🟢 APARTMENT ZINAPANGISHWA – BUNJU B (Kwa Ferouz) 🏘️
1️⃣ Vyumba 2 (Vyote Master)
🍽️ Jiko
🚽 Choo cha Public
💰 Kodi: 180,000/= (Kuanzia miezi 4)
2️⃣ Chumba Master (Kikubwa Sana)
💰 Kodi: 110,000/= (Kuanzia miezi 4)
🧹 Usafi wa nje kote yupo mtu maalum
📞 Call/WhatsApp: 0687800788 | 0713958395