Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENTS FOR RENT (INAPANGISHWA).
IPO GOBA NJIA NNE _ MWELEKEO WA MADALE
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE KABATI
PUBLIC TOILET
NDANI YA FENCE
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA24HRS MITA YAKO.
BEI LAKI 500,000. KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6.
____________________
NUMBER
#0688396025whatsp