Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
(ZIPO TATU KWENYE COMPOUND)
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili (Kimoja Masta)
📍A/C kwenye Master na sebuleni
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652472014
Call /Whatsapp