Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: GOBA NJIA NNE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 12 - 14 Kutoka Main Road Barabara NZURI Mpaka Kwenye Nyumba.
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Linawekwa Makabati
• Choo Kizuri Ndani
• Balcony
Apartment zipo 2 ndani ya Fensi Inamaliziwa Kujengwa Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#0785889413