Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo Nne Tu kwenye fensi)
Location :: GOBA NJIA YA MADALE
Bei yake :: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
🌡CCTV Camera
Call/Whatsapp;
0745559598