Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- GOBA CENTER
KODI TSHS LAKI 700,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala, Master Sebule Jiko, Choo/Bafu vya ndani public Ac
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
pervingblocks
FencedApart
Garden
____________
Nione
0762652066
0692904876
0719082300
Dalali mbezi bech afirikana SERVICE 20k