Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
Apartments for rent (inapangishwa).
šIPO Goba njia 4 mwelekeo WA Madale
Dk 1 kutoka lami.
Bei lk 700,000.kwa mwezi
Malipo ya miezi 6.
__________________
š Muundo wa Nyumba:-
Vyumba viwili vya kulala kimoja selfu
Sebule
Jiko lenye kabati
Public toilet
Fence
Umeme unajitegemea
Maji unajitegemea meter
________________________
Ikumbukwe Nyumba mpyaaa kabisa.
Number
Number
#0688396025whatsp