Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAA INAPANGISHWA HIII SIYO YA KUACHA
ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND MMOJA
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA MAKABE(KANISANI)
KODI YAKE:250,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 3
SIFA YA NYUMBA
👉VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
👉SEBURE KUBWA
👉JIKO SAFI LA MAKABATII
👉CHOO CHA PUBLIC
👉FENCE
👉PAVING BLOCKS
👉UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
KWA MAWASILIANO
0782428327