Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA LA STANZA
💧Bei :: 800,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Ac inafungwa Sebuleni na Master
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko linafungwa makabati
📍Electric Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0652251725
Call /Whatsapp