Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


🔥 APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA – GOBA LASTANZA 🔥
KODI 1,200,000
🏠 Vipengele vya Ndani
• Vyumba viwili vya kulala
• Sebule safi na ya kisasa
• Jiko zuri lililo na makabati pamoja na heater
• Vyoo vya kisasa (vya umma) vyenye heater
• Full facilities (maji & umeme upo)
🌟 Huduma & Mazingira
• Ulinzi na usalama wa uhakika 24/7
• Parking space ya kutosha
• Mazingira tulivu na rafiki kwa familia
💰 Service Charge: 30,000/=
📞 Karibu sana! Piga simu [0678512666] ujipatie viewing na nafasi yako leo.
✨ “Hii ndiyo nyumba yako ya ndoto – Goba Lastanza inakusubiri!”