Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗚𝗢𝗕𝗔 𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗡𝗡𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗢𝗦𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= × 6
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= × 6
💫💫APARTMENT HII IPO GOBA NJIA NNE MATOSA
AU UNAWEZA UKAPITIA NJIA YA KIMARA MWISHO NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA NA NJIA ZOTE ZINA USAFIRI WA KUCHANGIA YAANI BAJAJI
NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI WA MATOSA UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300