Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: GOBA NJIA NNE
Umbali wa Kilomita 1 kutoka Main Road, Unaweza Kutembea au Boda 1000
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet
โข Heater ya Maji
Apartment Zipo ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- MALIPO MIEZI 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp