Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISA INAPANGISHWA HIII SIYOO YA KUACHAAA KABISAA
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE(KANISANI)
BAJAJI:700
KODI YAKE:250,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅JIKO LENYE MAKABATII
✅CHOO CHA WAGENII
✅UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
✅FENCE
✅PARKING KUBWA
✅PAVING BLOCK
CONTACT
0782428327