Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
NYUMBA NI MPYA KABISA,,,,
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei :: 750,000Tsh Miezi 6,
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili (kimoja Masta)
📍Ac sebleni na Kwenye Master
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0683983630
WASSP